Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond, Jux wafanya mambo ya aibu na warembo hawa (+Video)

Video Archive
Sun, 16 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wikiendi hii Jux na Diamond walifanya House Party na hii ni baada ya kuachia mkwaju mkali wa Enjoy ambao wameshirikiana wawili hao.

Jux na Diamond walifanya live Perfomance ya wimbo huo ambao mpaka sasa ndio unaokamata namba moja katika trending za kule You Tube.

House Party hiyo ilihudhuriwa na Mastaa na warembo mbalimbali sasa tazama video hapa chini kuona kilichotokea katika usiku huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live