Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond: Anjella & Ibrah ni wajukuu zangu

Diamond Ibrah Diamond: Anjella & Ibrah ni wajukuu zangu

Wed, 20 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kulingana na mahojiano yake na kituo cha BBC Swahili jijini London Uingereza, mwanamuziki Diamond Platnumz amewataja wanamuziki Anjella naIbraah wote kutoka lebo ya Konde Gang kama wajukuu zake katika sanaa.

Kulingana na mahojiano yake na kituo cha BBC Swahili jijini London Uingereza, mwanamuziki Diamond Platnumz amewataja wanamuziki Anjella naIbraah wote kutoka lebo ya Konde Gang kama wajukuu zake katika sanaa. Diamond ameeleza kuwa huwa anafurahi kuona msanii aliyemsaidia (Harmonize) na yeye akiwasaidia wengine na kuongeza idadi ya wasanii wapya nchini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: