Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Daladala aliyopost Chris Brown, aliemtumia video azungumza (+video)

Video Archive
Mon, 12 Apr 2021 Chanzo: millardayo.com

Baada ya ile video fupi iliyosamba kwenye mitandao ikionesha Msanii wa Marekani Chris Brown akiwa amepost video kwenye Insta stori yake ya Hiace ya abiria inayofanya safari zake kati ya Nyashishi na Kisesa mkoani Mwanza, ambapo mwanzo haikufahamia ni nani aliemtumia, tumempata alierekodi na kumtumia hiyo video.

Baada ya ile video fupi iliyosamba kwenye mitandao ikionesha Msanii wa Marekani Chris Brown akiwa amepost video kwenye Insta stori yake ya Hiace ya abiria inayofanya safari zake kati ya Nyashishi na Kisesa mkoani Mwanza, ambapo mwanzo haikufahamia ni nani aliemtumia, tumempata alierekodi na kumtumia hiyo video. “Nilifanya kama utani tu japo huwa ni kawaida yangu kufanya hivyo mara nyingi, sikutegemea Chris Brown Mtu mwenye followers Milioni 78 aje kunijibu Mimi, simu zimekua nyingi ndoto yangu ni kumpata Baba yangu nijue kama yupo hai ama amekufa” ——— Kijana Erick

Chanzo: millardayo.com