Menu ›
Burudani
Thu, 28 Jul 2022
Chanzo: eatv.tv
King of the Best Melody, Christian Bella amesema huenda mashemeji wakawa ndio chanzo cha kukwamisha ndoa nyingi za vijana kutokea kwa sababu ya kupiga sana mizinga kwa shemeji zao.
Mfalme huyo wa Masauti amedai ugumu wa maisha vile vile husababisha kuonekana vijana wasumbufu kwenye ndoa kutokana na kuwa wanakuwa hawana kipato cha kutosha kuhimili majukumu ya familia.
Msikilize Bella akitiririka;
Chanzo: eatv.tv