Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chris Brown amlilia Liam Payne

Chriss X Payne Chris Brown amlilia Liam Payne

Thu, 17 Oct 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Chris Brown aguswa na kifo cha msanii Liam Payne ambaye amepoteza maisha baada ya kuanguka ghorofani.

Brown ameeleza kuwa Liam alikuwa mnyenyekevu na mwenye furaha kila wakati.

“Nakupenda kaka na nimefurahia kuwa na wewe mara kadhaa, ulikuwa mtu mnyenyekevu na mwenye furaha kila wakati. Pumzika kaka yangu.” Ameandika Chriss Brown.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live