Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chanzo cha kifo cha Mchekeshaji Erick, Mkojani azungumza (+Video)

Video Archive
Wed, 17 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchekeshaji Erick Ivyo Ivyo (Sauti ya Gharama) amefariki dunia Alfajiri ya leo na kwa sasa mwili wa Marehemu upo Kibaha mkoani Pwani kwa dada yake.

Mchekeshaji Mkojani Bin Daruweshi amethibitisha taarifa hiyo kwa kusema sasa hivi wasanii wanaelekea Kibaha kujua taratibu za kifamilia kuhusu mazishi. 

Pia amesema wiki tatu zilizopita mchekeshaji huyo alilazwa katika Hospitali ya Amana, Ilala Dar es Salaam.

Zaidi msikilize hapa Mkojani akizungumzia kifo cha Mchekeshaji Erick.  

Chanzo: www.tanzaniaweb.live