Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Casto Dickson: Sikufukuzwa Clouds kwa sababu ya ulevi (+Video)

Video Archive
Fri, 14 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Taarifa zikizagaa mitaani kuwa aliyekuwa Mtangazaji wa Kipindi cha "Siz Kitaa" cha Clouds TV, Casto Dickson kuwa ulevi ndio chanzo cha kutimuliwa katika kituo hicho.

Kwa mara ya kwanza Casto amefunguka kuhusiana na sintofahamu hiyo huku akibainisha sababu hasa ya yeye kuondoka Clouds Media.

Akizungumza katika kipindi cha "UNLOCK" Casto amesema kuingia kwa janga la UVIKO-19 ndio sababu hasa ya yeye kupunguzwa.

"Ofisi ilitoa Tangazo kuwa kutokana na janga la Corona haitakuwa na uwezo wa kuwalipa baadhi ya wafanyakazi na mimi pia nikiwa ni mmoja wao, kwa hiyo sikufukuzwa Clouds kwa sababu ya tabia zangu ama ulevi kama wengi wanavyozusha"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live