Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burna Boy afanya kolabo na Rapa 21 Savage

Burna Boy Rest Burna Boy afanya kolabo na Rapa 21 Savage

Fri, 12 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkali wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria Burna Boy anaendelea kuvuka boda kwa kufanya ‘kolabo’ na wasanii mbalimbali katika mataifa makubwa, na sasa ameshirikishwa kwenye Album mpya ya ‘rapa’ 21 Savage iliyotoka leo Januari 12.

Mkali wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria Burna Boy anaendelea kuvuka boda kwa kufanya ‘kolabo’ na wasanii mbalimbali katika mataifa makubwa, na sasa ameshirikishwa kwenye Album mpya ya ‘rapa’ 21 Savage iliyotoka leo Januari 12. Album hiyo ambayo imepewa jina la ‘American Dream’ imeshirikishwa ma-staa mbalimbali wakiwemo #Dojacat, TravisScott na wengineo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live