Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Binti Mfalme ampa talaka mumewe

Sheikha Mahra Mohammed Al Maktoum Binti Mfalme ampa talaka mumewe

Thu, 18 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Binti wa Mfalme wa Dubai, Sheikha Mahra Mohammed Al Maktoum ametangaza kumuacha mumewe Sheikh Mana Mohammed Rashid Al Maktoum kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram.

Ujumbe wake huo ulianza na kusema; "Mume wangu Mpendwa", na kumalizia kwa maneno "Ninakupa talaka, ninakupa talaka, na ninakupa talaka," ukionekana kutumia desturi ya Kiislamu inayojulikana kama talaka tatu.

Uamuzi wa Binti Mfamle Sheikha Mahra Al Makhtoum umeshangaza dunia na familia yake hawajaweza kuzungumzia hilo.

Je nini maoni yako? Sheria ya Kiislamu inamruhusu mwanamke wa Kiislamu kumuacha mumewe?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live