Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Binadamu mwenye nywele ndefu za Asili

Article 0 1B18E990000005DC 114 1024x615 Large Aevin Dugas

Mon, 20 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mfanyabiashara kutoka New Orleans, #Marekani, Aevin Dugas ameendela kushikilia rekodi ya kuwa na nywele ndefu za asili duniani ambapo mpaka kufikia sasa nywele hizo zina urefu wa 9.84 (25 cm).

Kwa mujibu wa tovuti ya ‘Guinness World Record’ Aevin aliingia kwenye kitabu ya #Guinness mwaka 2010, nywele zake zikiwa na urefu wa 4 ft 4 (cm 132).

Hapo awali wakati anaingia katika kitabu hicho mwanadada huyo alieleza kuwa alitumia miaka 12 kukuza nywele hizo ambapo kwa sasa anatimiza miaka 24 toka aanze kufuga nywele hizo.

Aidha #Aevin aliweka wazi kuwa huwa anapunguza ncha ya nywele hizo mara tatu kwa mwaka, na kutumia product tano wakati wa kuosha nywele. .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live