Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Billnass aachia wimbo wa "Maokoto", Belle 9 ampiga kijembe (+Video)

Video Archive
Fri, 21 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Billnass kuachia Ngoma yake mpya aliyomshirikisha Marioo "Maokoto" Mwimbaji mwingine kutoka kiwanda cha Bongoflavour, Belle 9 ameibuka na kutupa kijembe.

Baada ya Billnass kuachia Ngoma yake mpya aliyomshirikisha Marioo "Maokoto" Mwimbaji mwingine kutoka kiwanda cha Bongoflavour, Belle 9 ameibuka na kutupa kijembe. Katika tweet yake Belle 9 ameonesha kuwa Billnass ameiga idea ya wimbo wake wa Nilipe Nisepe iliyotoka miaka kadhaa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live