Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Bibi wa miaka 63 kuzaa na 'mjukuu wake' wa miaka 26

Quran McCain Sdcf Bibi wa miaka 63 kuzaa na 'mjukuu wake' wa miaka 26

Wed, 5 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Huu ni ushahidi mwingine kuwa umri ni namba tu kwenye mapenzi na kuzaa ni mipango na baraka za Mungu.

Bibi mwenye wa miaka 63, Cheryl na mume wake Quran McCain mwenye umri wa miaka 26 wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza baada ya kuonyesha majibu ya vipimo vya ujauzito kupitia video hii.

Tayari Cheryl ni mama wa watoto 7, bibi wa wajukuu 17 pia alikutana na Mume wake mwaka 2012 akiwa na 14 tu kisha kufunga ndoa 2021.

Gape la miaka iliyopo katika ndoa yao kati ya Cheryl na Quran ni miaka 37.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live