Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beyonce kumshtaki Trump kwa kutumia wimbo wake

Beyonce Kumshtaki Trump Kwa Kutumia Wimbo Wake.png Beyonce kumshtaki Trump kwa kutumia wimbo wake

Thu, 22 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Wa Marekani @beyonce Ameripotiwa Kuwa Ametishia Kumshtaki Donald Trump Kwa Kutumia Wimbo Wake ‘Freedom’ Bila Ridhaa Yake.

Jana Mmoja Kati Ya Watu Wa Trump ‘Steve Cheung’ Ali-Share Video Twitter Iliyomuonesha Trump Akishuka Kwenye Ndege Huko Michigan Huku Akitumia Wimbo Wa Beyonce Wa Mwaka 2016 ‘Freedom’ Katika Video Hiyo.

Hata Hivyo Video Hiyo Ilifutwa Mtandaoni Muda Mfupi Baada Ya Beyonce Kuripotiwa Kutaka Kuchukua Hatua Za Kisheria Dhidi Ya Trump Na Timu Yake Ya Kampeni.

Inaripotiwa Kuwa ‘Freedom’ Ni Wimbo Maalumu Wa Kampeni Za Kamala Harris, Na Hilo Lilithibitishwa Na Beyonce Mwenyewe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live