Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bambo: Dulvan kuvaa kanga na sidiria utasababisha mengine - Video

Video Archive
Thu, 27 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii nguli wa komedi nchini, amemuonya msanii mwenzake Dulvan kwa vitendo vyake vya kuvaa nguo za kike ikiwemo kanga, madela na sidiria na kujipost jambo ambalo amesema ni kinyume na maadili kwa kijana wa kiume kufanya vitendo kama hivyo.

Msanii nguli wa komedi nchini, amemuonya msanii mwenzake Dulvan kwa vitendo vyake vya kuvaa nguo za kike ikiwemo kanga, madela na sidiria na kujipost jambo ambalo amesema ni kinyume na maadili kwa kijana wa kiume kufanya vitendo kama hivyo. Bambo amesema hayo ikiwa ni siku chache baada ya Dulvan kupost akiwa amevalia nguo za kike jambo lililosababisha mijadala mitandaoni hivyo kuitwa na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kwa ajili ya kujieleza kisha kuonywa kutokana na vitendo hivyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live