Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Balaa la Zuchu Mahaba Ndi ndi ndi, Apiga Shoo ya Kibabe Mlimani City – (Picha + Video)

Video Archive
Tue, 15 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

SECOND lady kutoka lebo ya muziki Bongo, Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Zuhura Othman maarufu kama ‘Zuchu’ usiku wa kuamkia leo Februari 15, 2022 amefanya shoo yake maalum ya usiku wa Mahaba Ndi Ndi Ndi kwenye siku ya wapendanao katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.

Miongoni mwa mastaa waliopafomu ni zaidi ya kumi wakiongozwa na, Zuchu baadhi yao ni staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, Mbosso, Khadija Kopa, Mac Voice, Kassim Mganga, Malkia Patricia Hillary.

Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye na Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo Mohamed Mchengerwa walikuwepo katika usiku huo.







Chanzo: www.tanzaniaweb.live