Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baada ya miaka 20 Awilo awasili DSM, apokelewa kwa shangwe (+video)

Video Archive
Fri, 9 Apr 2021 Chanzo: millardayo.com

Baada ya zaidi ya miaka 20 Msanii Mkongwe kutokea DRC Congo Awilo Longomba amerejea tena Tanzania akipokewa kwa shangwe.

Awilo ambaye yupo Tanzania kutokana na utayarishaji wa Filamu aliyoshiriki amesema atakuwa hapa kwa muda wa mwezi mzima hivyo lolote kuhusu Muziki pia linaweza kutokea.

Kuhusu Wasanii wa Bongofleva anaowakubali Awilo amemtaja Diamond Platnumz, Harmonize, Alikiba na Rosa Ree.

Chanzo: millardayo.com