Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BASATA: "Iphone Users" ya Marioo haina maadili

MARIOO MSZZ Marioo

Tue, 20 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Marioo amethibitisha kuwa ni kweli alitumiwa barua na Baraza la sanaa la Taifa ( BASATA) kuhusu wimbo wake wa "Iphone Users" kutozingatia maadili.

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Marioo amethibitisha kuwa ni kweli alitumiwa barua na Baraza la sanaa la Taifa ( BASATA) kuhusu wimbo wake wa "Iphone Users" kutozingatia maadili. Marioo amefunguka kupitia ukurasa wake wa Instagram na kusema hafanyi promotion ya wimbo huo kwa sababu hiyo na alipokea taarifa hiyo siku tatu tu baada ya wimbo wake kutoka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live