Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Alikumbatia Bomu akapona, Parachuti ilimgomea kufunguka akapona!

Captain Jack Harold Lucas Captain Jack Harold Lucas

Tue, 21 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Captain Jack Harold Lucas aliyekuwa mwanajeshi wa Marekani, historia yake imegubikwa na simulizi za kustaajabisha sana, huyu mwamba mwaka 1945 akiwa vitani nchini Japan aliwaokoa wanajeshi wenzake baada kukumbatia bomu lililorushwa ili wenzie wapone, na yeye AKAPONA.

Captain Jack Harold Lucas aliyekuwa mwanajeshi wa Marekani, historia yake imegubikwa na simulizi za kustaajabisha sana, huyu mwamba mwaka 1945 akiwa vitani nchini Japan aliwaokoa wanajeshi wenzake baada kukumbatia bomu lililorushwa ili wenzie wapone, na yeye AKAPONA. Mwaka 1961 alianguka kutoka angani baada ya parachuti kugoma kufunguka, AKAPONA. Mwaka 1977 aliyekuwa mke wake alimlipa mtu ili akamuue, na hii nayo akachomoka mzima. Hata hivyo alikuja kufariki mwaka 2008 akiwa na miaka 80.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live