Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alikiba amwaga chozi kisa baba yake

Video Archive
Tue, 24 Aug 2021 Chanzo: eatv.tv

King wa Bongo Fleva, Alikiba amwaga chozi baada ya kuona picha iliyochora na kuwekwa kwenye frame ya marehemu Baba yake ‘Saleh Kiba’ aliyopewa kama zawadi kutoka kwa mmoja ya mashabiki zake.

Licha ya kuifurahia zawadi hiyo ya picha ila ilimtonesha kidonda cha kumpoteza mmoja ya watu muhimu maishani mwake.

Baba mzazi wa mwanamuziki huyo amefariki dunia mwaka 2019  

Chanzo: eatv.tv