Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Aliepata Tuzo ya Mwalimu Bora atuhumiwa kwa Ubakaji

Mwalimu Bora Brandyn Hargrove

Sat, 13 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwalimu wa shule ya sekondari Brazosport, Brandyn Hargrove (43) ambaye aliwahi kuwa mshindi wa tuzo ya mwalimu bora wa mwaka kutoka Texas nchini Marekani ameshtakiwa kwa makosa ya unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya watoto makosa yanayodaiwa kutokea mwaka 2007.

Hargrove alikamatwa Desemba 21 baada ya mwanafunzi huyo wa zamani kufungua mashtaka polisi na kudai kuwa alikuwa katika uhusiano na mwalimu wake wa zamani alipokuwa na umri wa miaka 15 na kwamba unyanyasaji huo ulidumu kwa miaka miwili.

Taarifa kutoka shule ya Brazosport ambapo Hargrove anafundisha ilisema kuwa mwalimu huyo amesimamishwa kwa muda kutokana na mashtaka hayo, huku mahakama ya nchi hiyo ikimwachilia kwa dhamana

Chanzo: www.tanzaniaweb.live