Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Live Radio

Afrika

Nchi

Kijamii

Ajiunga na Chuo Kikuu akiwa na miaka 4

Kim Ung Yong.jpeg Kim Ung-Yong

Wed, 15 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kim Ung-Yong ni mhandisi wa ujenzi wa Korea Kusini, alipokuwa na umri wa miaka 5 alikuwa na uwezo wa kuongea lugha 5 bila shida yoyote. Lugha hizo ni Kikorea, Kiingereza, Kifaransa, Kijerumani na Kijapani.

Akiwa na miaka 4 alijiunga na Chuo kikuu cha Hanyang na kuweka rekodi ya kuwa mwanafunzi mdogo zaidi katika historia ya kuwahi kusoma chuoni hapo.

Mwaka 1977, akiwa na umri wa miaka 15, Kim alihamia Marekani na kuajiriwa na NASA kama mtafiti. Baadhi ya tafiti zinamuelezea Kim Ung-Yong kama mtu mwenye akili nyingi zaidi duniani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live