Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aggy Baby Aachia Wimbo Mpya "Kamnyweso"

Video Archive
Tue, 14 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

MALKIA kwenye muziki wa Bongo fleva Agness Suleiman maarufu kama Aggy Baby ametambulisha rasmi wimbo wake mpya wa Kamnyweso wenye mtindo wa Amapiono aliomshirikisha msanii Stompion.

Aggy Baby ameachia rasmi 'Audio' ya Kamnyweso mapema 13 Desemba 2021 ukiwa unapatikana karibu kwenye 'platform' zote za muziki za mitandaoni ikiwemo Boomplay, Youtube, iTunes, Audiomack na zingine nyingi.

"Fans wangu na wadau wote wanaweza kuusikiliza wimbo wangu mpya kupitia mitandao karibu yotE," alisema AGGY.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live