Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

A Boy From Tandale: Wasanii wa Kenya wahimizwa kufuata nyayo za Diamond (Video)

Video Archive
Sat, 17 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Mtangazaji wa kituo cha redio cha the citizen, Mzazi Tuva amefunguka kwa kumwagia sifa Diamond Platnumz kwa kufanya makubwa katika uzinduzi wa albamu yake ya A Boy From Tandale huku akiwataka wasanii wa K enya kuiga mfano wa muimbaji huyo.

Chanzo: bongo5.com