Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Live Radio

Afrika

Nchi

Kijamii

Vodacom kuwarejeshea vifurushi wateja waliokosa Intaneti

Internet Vodacom kuwarejeshea vifurushi wateja waliokosa Intaneti

Wed, 15 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kampuni ya Huduma za Mawasiliano ya Simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania imesema imefanikiwa kurejesha Mawasiliano yote ikiwemo Huduma ya Intaneti iliyokatika kwa siku kadhaa, na itaanza kuwarejeshea Vifurushi Wateja wote waliolipia na kukosa Intaneti

Kampuni ya Huduma za Mawasiliano ya Simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania imesema imefanikiwa kurejesha Mawasiliano yote ikiwemo Huduma ya Intaneti iliyokatika kwa siku kadhaa, na itaanza kuwarejeshea Vifurushi Wateja wote waliolipia na kukosa Intaneti Taarifa iliyotolewa na Uongozi wa Vodacom Tanzania imeeleza Kampuni inatambua usumbufu uliojitokeza na inawaomba radhi Wateja wake kutokana na tatizo hilo

Chanzo: www.tanzaniaweb.live