Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO: Mfanyabiashara afichua siri madini ya Tanzanite mbele ya Waziri Mkuu

Video Archive
Thu, 27 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watanzania kushirikiana ili kuyapa thamani madini ya Tanzanite na kuifanya dunia nzima itambue kuwa madini ya Tanzanite yanapatikana Tanzania tu na tayari imeweka mazingira ya kuyaongezea thamani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live