Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ujenzi uwanja wa ndege Msalato wafikia asilimia 70

Msalato Msalatooooo (600 X 336) Ujenzi uwanja wa ndege Msalato wafikia asilimia 70

Fri, 26 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa ametembelea na kukagua utekelezaji wa ujenzi wa Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato, jijini Dodoma.

Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa ametembelea na kukagua utekelezaji wa ujenzi wa Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato, jijini Dodoma. Uwanja huo wa ndege unajengwa kwa awamu ambapo katika awamu ya kwanza utekelezaji umefika asilimia 70 na unategemewa kukamilika itakapofika mwanzoni mwa mwaka 2025

Chanzo: www.tanzaniaweb.live