Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Tuna deni kwa Rais Samia, tutasimamia kodi" Mwenyekiti TPSF (+video)

Video Archive
Mon, 12 Apr 2021 Chanzo: millardayo.com

Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) imesema ina deni kubwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan hususani katika usimamiaji wa kulipa Kodi.

Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) imesema ina deni kubwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan hususani katika usimamiaji wa kulipa Kodi. Hayo yamebainishwa jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Taasisi hiyo, Angelina Ngalula ambapo amesema sekta hiyo inaunga mkono maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan na watashirikiana na Serikali katika hatua zote za utekelezaji wake.

Chanzo: millardayo.com