Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Live Radio

Afrika

Nchi

Kijamii

Sasa 'X' unaweza kutuma movie na podcast

Elon Mzdfv Sasa 'X' unaweza kutuma movie na podcast

Wed, 15 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Elon Musk, Mkurugenzi Mtendaji wa SpaceX na Tesla, amezindua vipengele vipya kwenye mtandao wa X iliyojulikana zamani kama Twitter na kuruhusu watumiaji kupakia na kujipatia mapato ya podikasti, vipindi vya televisheni au filamu.

Hatua hii inakuja baada ya Musk alipojibu swali la dada yake Tosca Musk kuhusu kupakia filamu zenye urefu kamili kwenye jukwaa hilo.

Watumiaji walipendekeza kuongezwa kwa vipengele vya ziada kama vile uwezo wa ziada wa kutuma klipu ndefu na kubadilisha X kuwa jukwaa maalum lenye uwezo wa kutuma klipu hizo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live