Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sabasaba imezalisha ajira za muda 11,000

Ajira Mpyaaaaa Sabasaba imezalisha ajira za muda 11,000

Tue, 2 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe amesema maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) maarufu kama Sabasaba yanatarajia kutengeneza ajira za muda zipatazo 11,712.

Kigahe amesema hayo wakati alipotembelea na kukagua maandalizi ya ufunguzi rasmi wa maonesho hayo yanayoendelea kwenye Viwanja vya Julius Nyerere mkoani Dar es Salaam.

Amesema maonesho ya mwaka huu yatakuwa ya aina yake, yakijikita katika kuonesha teknolojia za hali ya juu, ubunifu na matumizi ya akili mnemba (AI).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live