Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia akutana na wawekezaji China

Rais Samia Akutana Na Wawekezaji China.png Rais Samia akutana na wawekezaji China

Fri, 6 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa, Septemba 6, 2024 amekutana na kuzungumza na wawekezaji na viongozi wa kampuni mbalimbali za China kwa ajili kujadili masuala ya ushirikiano na uwekezaji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa, Septemba 6, 2024 amekutana na kuzungumza na wawekezaji na viongozi wa kampuni mbalimbali za China kwa ajili kujadili masuala ya ushirikiano na uwekezaji. Rais Samia yupo nchini China kwenye ziara ya kikazi ambapo alishiriki Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live