Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msambaza Chakula anayeingiza Milioni 10, anamiliki Pikipiki 21 (video+)

Video Archive
Fri, 29 Oct 2021 Chanzo: millardayo.com

AyoTV imefanya mahojiano na Kijana Ali Jumanne ambaye amejiari Vijana 40 kwa kusambaza chakula kutoka kwenye migahawa na kupeleka kwa Watu ambapo anatumia Application ambayo ameibuni baada ya kukosa ajira, elimu yake ni degree ya IT ambayo ameipata Chuo Kikuu cha Dodoma.

Chanzo: millardayo.com