Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mita mpya za maji "kama king'amuzi maji, yakiisha inaji-lock" (+video)

Video Archive
Thu, 3 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Serikali kupitia Wizara ya Maji kuanzia mwezi Julai inatarajia kuanza kufunga mita za maji za malipo ya kabla[PRE PAID WATER METERS] ambazo zitakuwa na mfumo wa King’amuzi unaweza ukanunua ukiwa sehemu yoyote duniani

Serikali kupitia Wizara ya Maji kuanzia mwezi Julai inatarajia kuanza kufunga mita za maji za malipo ya kabla[PRE PAID WATER METERS] ambazo zitakuwa na mfumo wa King’amuzi unaweza ukanunua ukiwa sehemu yoyote duniani Katibu mkuu Wizara ya Maji mhandisi Antony Sanga amesema utofauti wa mita hizo na mita zingine ni kuwa unaweza ukamgawia jirani uniti za maji kama unavyohamisha salio kwenye simu na akaendelea kupata huduma, vilevile kama unahama nyumba uliyokua ukiishi na kuna uniti zako zimebaki kwenye mita unaweza ukahama nazo pia.

Chanzo: millardayo.com