Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Malalamiko ya bando mwisho April, Ndugulile atoa kauli "bei itapungua"(+video)

Video Archive
Mon, 8 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Faustine Ndugulile ameiithibitishia AyoTV kwamba bei za vifurushi zitashuka kuanzia mwezi ujao (April 2 2021) mara baada ya kanuni mpya kuanza kufanya kazi.

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Faustine Ndugulile ameiithibitishia AyoTV kwamba bei za vifurushi zitashuka kuanzia mwezi ujao (April 2 2021) mara baada ya kanuni mpya kuanza kufanya kazi. “Bei elekezi ya vifurushi vya Internet itakuwa Tsh. 2-9 kwa megabaiti(MB) kwahiyo bei za vifurushi na mitandao zitashuka, Kampuni za simu zitatakiwa kubadilisha bei za vifurushi kila baada ya miezi mitatu na sio kupandisha kiholela” Ndugulile

Chanzo: millardayo.com