Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MOTO LA CHAAZ: Zimamoto waeka wazi walichoona “wameiba vitu, waliajiri watu wengi” (+video)

Video Archive
Sat, 6 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Ilala limesema hakuna madhara yaliyojitokeza kwa Binadamu kwenye tukio la Bar ya La Chaaz iliyopo maeneo ya Sinza, Dar es salaam kuungua moto na tayari moto umedhibitiwa kwa 80%.

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Ilala limesema hakuna madhara yaliyojitokeza kwa Binadamu kwenye tukio la Bar ya La Chaaz iliyopo maeneo ya Sinza, Dar es salaam kuungua moto na tayari moto umedhibitiwa kwa 80%. “Hakuna madhara kwa Binadamu, kwa 80% moto umedhibitiwa, kabla hatujaja tuliwajulisha TANESCO, mpaka sasa hawajajua chanzo maana ndio wanazima moto hizi ni taarifa za awali tu”- Elinimo Shang’a Mkaguzi Msadizi wa Jeshi la zimamoto na Uokoaji Ilala

Chanzo: millardayo.com