Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

META yawafuta kazi walionunua Dawa za meno, sabuni badala ya Chakula

CEO Meta Mark Zuckerberg Chi Hang Ty USD Mua Chip Mtendaji Mkuu wa META, Mark Zuckerberg

Fri, 18 Oct 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kampuni ya META imewafukuza Wafanyakazi zaidi ya 24 ambao walibainika kutumia Fedha ziliwekwa kwenye Kuponi za Chakula wakiwa kazini na kununua Mahitaji mengine zikiwemo Sabuni za Kufulia na Dawa za Meno

META imesema imechukua uamuzi huo kwa Wafanyakazi wa WhatsApp,Instagram na Facebook ambao wamekuwa wakitumia kinyume na makubaliano marupurupu, pia imewahamisha vitengo wengine

Kampuni hiyo imekuwa ikitoa Chakula bure kwa Wafanyakazi katika Migahawa ya Ofisi za Silicon Valley, na walio nje ya ofisi hupewa Dola 70 (takriban Tsh. 190,750) kila siku kwaajili ya Huduma hiyo kila siku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live