Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jamaa anayeyusha injini za magari na kutengeneza urembo (+video)

Video Archive
Tue, 18 Aug 2020 Chanzo: millardayo.com

Leo August 18, 2020 nakusogezea kijana Aman Juma mwenye miaka 25 ni mbunifu anayeyeyusha injini za magari zilizoharibika na kutengeneza urembo unaopachikwa kwenye mageti au fensi za nyumba na kuweka mvuto wa kipekee.

Leo August 18, 2020 nakusogezea kijana Aman Juma mwenye miaka 25 ni mbunifu anayeyeyusha injini za magari zilizoharibika na kutengeneza urembo unaopachikwa kwenye mageti au fensi za nyumba na kuweka mvuto wa kipekee. Kupitia exclusive interview na AyoTV na millardayo.com Aman amefunguka na kusema utundu na mapenzi yake ya kuangalia filamu za Kihindi ndio vimemfanya kuwa na ubunifu huo.

Chanzo: millardayo.com