Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hizi ndizo tozo tano za mkulima zilizobakizwa na Serikali -VIDEO

Video Archive
Wed, 30 Mar 2022 Chanzo: millardayo.com

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amefanya ziara Mkoani Kagera kwa lengo la kushiriki Mkutano wa wadau wa Kahawa Mkoani humo ambapo yeye ndio alikuwa mgeni rasmi.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amefanya ziara Mkoani Kagera kwa lengo la kushiriki Mkutano wa wadau wa Kahawa Mkoani humo ambapo yeye ndio alikuwa mgeni rasmi. Akiongea na wadau wa kahawa waliohudhulia mkutano huo ametangaza kufuta tozo 42 katika zao la kahawa kutoka tozo 47 za awali na kubakiza tozo tano kwa mkulima

Chanzo: millardayo.com