Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hii ndio hotel ya nyota tano wanayolala wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu (+video)

Video Archive
Fri, 4 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

HoteI ya kitalii ya Ngurdoto Mountain Lodge yenye hadhi ya nyota tano iliyopo Arumeru mkoani Arusha, imegeuzwa hosteli ya Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) baada ya kufungwa kwa siku kadhaa kutokana na ukosefu wa wateja, baada watalii kutoka nje kupungua kutokana na janga la ugonjwa wa virusi vya corona, Covid-19 duniani.

HoteI ya kitalii ya Ngurdoto Mountain Lodge yenye hadhi ya nyota tano iliyopo Arumeru mkoani Arusha, imegeuzwa hosteli ya Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) baada ya kufungwa kwa siku kadhaa kutokana na ukosefu wa wateja, baada watalii kutoka nje kupungua kutokana na janga la ugonjwa wa virusi vya corona, Covid-19 duniani. Mkuu wa chuo hicho, Prof. Eliamani Sedoyeka, amethibitisha chuo chake kuingia mkataba na Kampuni ya Landmark inayoisimamia hoteli hiyo na kwamba wamepata nafasi ya kutosha malazi ya wanafunzi.

Chanzo: millardayo.com