Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bilionea wa Mpunga, mkulima alieitwa na Bill Gate, anakopesheka Bilioni 3 (+video)

Video Archive
Wed, 30 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Leo naripoti kutokea kiwandani Rapha Group Limeted hapa ni Mkoa wa Mbeya, Wilaya ya Mbeya, kuna watu wameweka pesa zao, akili na kila kitu chao kwenye kilimo, nakukutanisha na Raphael Simon Ndelwa maarifa yake na maisha yake yeye ni kilimo cha mpunga na uzalishaji wa mchele yaani BILIONEA WA MPUNGA, uwezo wake wa kukopesheka na Benk ni Bilioni 3.

Rapha ana umri wake ni miaka 49 alizaliwa mwaka 1972 Wilayani Makete, 1983 alihamia Mkoani Mbeya, elimu yake ni darasa la saba ambayo aliipata katika Shule ya Msingi Hasanga ambapo alihitimu 1987.

Huyu ndie Rapha alieitwa na Bill Gate wajadili juu ya zao la mpunga, Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama Interview yote.

Chanzo: millardayo.com