Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bandari ya Kasanga kupunguza mrundikano wa Malori Tunduma

Screenshot 20240717 231657 Collage Maker GridArt Bandari ya Kasanga kupunguza mrundikano wa Malori Tunduma

Thu, 18 Jul 2024 Chanzo: dar24

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema akiwa mkoani Rukwa wakati wa ziara yake ameangalia miundombinu ndani ya mkoa huo na ameutaja uzinduzi wa Barabara ya Sumbawanga -Matai -Kasanga na kusema matumaini ni kwenda kupunguza mrundikano wa Malori Tunduma.

Barabara hiyo yenye urefu wa Km 107 inaelekea mpaka Bandari ya Kasanga.

Wakati huohuo, Rais Samia amesema uboreshwaji wa barabara nyingine zenye tija unaendelea mkoani humo.

Chanzo: dar24