Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bendera ya Tanzania imepeperushwa vyema

Ibrahim Mafia 9a41858c6f Bendera ya Tanzania imepeperushwa vyema

Mon, 7 Oct 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bendera ya Tanzania imepeperushwa vyema baada ya Bondia mwenye nyota tatu Mtanzania Ibrahim Mafia, kumchapa mpinzani wake mwenye nyota mbili kutoka Ghana Enoch Tetty Tetteh, kwenye pambano na raundi kumi la kupigania mkanda wa WBC AFRICA BELT.

Bendera ya Tanzania imepeperushwa vyema baada ya Bondia mwenye nyota tatu Mtanzania Ibrahim Mafia, kumchapa mpinzani wake mwenye nyota mbili kutoka Ghana Enoch Tetty Tetteh, kwenye pambano na raundi kumi la kupigania mkanda wa WBC AFRICA BELT. Enoch amekubali yaishe baada ya kushindwa kuendelea na pambano katika raundi ya 9 na Ibrahim Mafia kuibuka na ushindi wa Technical knockout (TKO) ambapo kutokana na ushindi huo Mafia ameondoka na Knockout ya mama ya shilingi milioni saba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live