Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baada kipigo, Anthony Joshua afungiwa

Anthony Joshua Need Fury Baada kipigo, Anthony Joshua afungiwa

Mon, 30 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia wa Uingereza na Nigeria, Anthony Joshua amefungiwa na Bodi ya udhibiti ya Ndondi ya Uingereza kujihusisha na ngumi kwa siku 28 baada ya kushindwa vibaya na Daniel Dubois.

Bodi ilieleza kuwa sio marufuku ya kudumu, bali ni tahadhari ya kawaida ya kimatibabu ili kuhakikisha usalama wa Joshua baada ya kugongwa kiufundi.

Kupoteza kwa Joshua dhidi ya Dubois kuliashiria kushindwa kwake kwa katika taaluma yake, na wengi wanakisia kuhusu mustakabali wake katika ndondi tata hivyo, Joshua ameweka wazi kuwa hatastaafu.

Promota wake, Eddlie Hearn, tayari anazingatia hatua zinazofuata za Joshua akiwa na chaguei mbili mezani, mechi ya marudiano na Dubois au pambano linalotarajiwa sana na Tyson Fury.

Mechi ya marudiano na Dubois ingetegemea utayari wa Joshua kimwili, wakati pambano na Fury linaweza kutokea bila ku jali matokeo ya pambano lijalo la Fury na Oleksandr Usyk.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live