Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
BodyBuilding

Dogo avunja rekodi ya Arnold Schwarzenegger

Anton Ratushnyi Earns Pro Card Arnold Schwarzenegger

Mon, 18 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtunisha misuli Anton Ratushnyi mwenye umri wa miaka 19, amevunja rekodi ya muda mrefu iliyokuwa ikishikiliwa na Arnold Schwarzenegger, na kuwa mtunisha misuli mwenye umri mdogo zaidi katika historia.

Mtunisha misuli Anton Ratushnyi mwenye umri wa miaka 19, amevunja rekodi ya muda mrefu iliyokuwa ikishikiliwa na Arnold Schwarzenegger, na kuwa mtunisha misuli mwenye umri mdogo zaidi katika historia. Schwarzenegger alikuwa ameweka rekodi hiyo mwaka wa 1969 aliposhinda taji la Mr. Universe akiwa na umri wa miaka 20, na kumfanya kuwa mwanamisuli mdogo zaidi kuwahi kupata ‘pro card’​. Ratushnyi amevunja rekodi hiyo kwa kushinda mataji matatu ya National Physique Committee (NPC) na kupata kadi akiwa na umri wa miaka 19, na kuipita rekodi ya Schwarzenegger kwa mwaka mmoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live