Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
BodyBuilding

Bingwa wa Kutunisha misuli anayeishi na Mkono mmoja

Bingwa Misuli Kim Na-yoon akiwa jukwaani

Fri, 24 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kim Na-yoon, alipoteza mkono wa kushoto katika ajali ya pikipiki aliyoipata mwaka 2018. Ajali ambayo ilibadili mfumo wake mzima wa Maisha.

Alihisi ndoto yake ya kuwa katika ulimwengu wa uwanamitindo umegonga mwamba lakini hakupoteza matumaini maishani.

Alipokuwa akifanya mazoezi ya urekebishaji, alijipa changamoto ya kuwa mtaalamu wa kujenga misuli.

Kwa sasa anafanya vyema katika tasnia ya wanaojihusisha na utunishaji wa misuli katika maonesho mbali mbali Duniani.

Hivi karibuni aliibuka wa kwanza katika mashindano ya kujenga misuli, kuwashinda wanariadha wasio na ulemavu. Sasa anawasilisha ujumbe wake wa matumani kwa wengine.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live