Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Vyuma vitatu mbio za U-MVP

NBA Regular Vyuma vitatu mbio za U-MVP

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi ya mpira wa kikapu @nba hatua za 'regular season' imefika hatua mzunguko wa 17 na nyota watatu wameendelea kumenyana katika kinyang'anyiro cha U-MVP ambao wamevuka wastani wa kufunga alama 27.5 kwa kila mchezo.

Ligi ya mpira wa kikapu @nba hatua za 'regular season' imefika hatua mzunguko wa 17 na nyota watatu wameendelea kumenyana katika kinyang'anyiro cha U-MVP ambao wamevuka wastani wa kufunga alama 27.5 kwa kila mchezo. Nyota hao ni Nikola Jokic wa @nuggets anayeongoza mbio hizo kwa wastani wa kufunga alama 27.5, rebounds 13.1 na assists 8.9, wakati Luka Doncic wa @dallasmavs ana wastani wa kufunga alama 30.5, rebounds 8.3 na assists 8.1 na MVP wa msimu uliopita Joel Embiid wa @sixers ana wastani wa kufunga alama 31.9, rebounds 11.3 na assists 6.1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live