Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Timu 3 zajiweka Pazuri Ubingwa wa NBA 2023/24

Usa Today 22036258 Timu 3 zajiweka Pazuri Ubingwa wa NBA 2023/24

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu 3 kunako ligi ya kikapu @nba zinapewwa nafasi kubwa ya kuibuka mabingwa hadi sasa katika hatua za robo ya kwanza za regular season kabla ya kuelekea kwenye hatua za playoffs zinazotenganishwa na AllStar weekend.

Timu 3 kunako ligi ya kikapu @nba zinapewwa nafasi kubwa ya kuibuka mabingwa hadi sasa katika hatua za robo ya kwanza za regular season kabla ya kuelekea kwenye hatua za playoffs zinazotenganishwa na AllStar weekend. Timu hizo ni @celtics mabingwa mara 17 wenye msimu bora wakiongozwa na nyota Jayson Tatum na Jaylen Brown, @timberwolves yenye nyota Anthony Edwards, Karl-Anthony Towns na Rudy Gobert na ya tatu ni mabingwa watetezi wa 2022-23 @nuggets ya Nikola Jokic na Jamal Murray.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live