Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Tatum abeba tuzo ya MVP NBA All Stars

Jayso Tatum.jpeg Jayson Tatum

Mon, 20 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya mpira wa kikapu ya Giannis Antetokounmpo imeibuka na ushindi wa 184-175 dhidi ya timu ya Lebron James katika mchezo wa fainali ya NBA All-Stars 2023 huku nyota wa Boston Celtics, Jayson Tatum akivunja rekodi ya pointi 55 na kushinda tuzo ya ‘Kobe Bryant All-Stars MVP’

Timu ya mpira wa kikapu ya Giannis Antetokounmpo imeibuka na ushindi wa 184-175 dhidi ya timu ya Lebron James katika mchezo wa fainali ya NBA All-Stars 2023 huku nyota wa Boston Celtics, Jayson Tatum akivunja rekodi ya pointi 55 na kushinda tuzo ya ‘Kobe Bryant All-Stars MVP’ Tuzo ya ‘Kobe Bryant All-Stars MVP’ aliyopewa Tatum imepewa jina hilo kumuenzi nguli wa zamani wa mchezo huo Kobe Bryant.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live