Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

TBF yamfungia nyota wa Basket Tanzania

Pazi Rtesas Dennis Chibura.

Mon, 10 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la mpira wa kikapu nchini @tzbball limemfungia mchezaji nyota wa timu ya taifa ya mpira wa wa kikapu 'The Tanzanites' na klabu ya @pazibasketball Dennis Chibura @babu_truth kujihusisha na mpira wa kikapu kwa muda wa miaka mitatu.

Taarifa hiyo imetolewa jana na Katibu Mkuu wa Shirikisho hilo bwana @mwenzekabinda kupitia kikao cha kamati ya utendaji kilichofanyika tarehe 8 julai, 2023 katika ukumbi wa mikutano uliopo hoteli ya Salvation Army.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live