Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Steph Curry azidi kuweka ufalme wake NBA

Steph Curry NBA 3 Stephen Curry

Fri, 3 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwamba Steph Curry wa @warriors ameendelea kuweka rekodi za ufungaji wa three points baada ya hapo jana kuwa mchezaji wa kwanza tangu Dunia kuumbwa katika ligi hiyo kufunga three points katika michezo 250 mfululizo katika Regular Season.

Mwamba Steph Curry wa @warriors ameendelea kuweka rekodi za ufungaji wa three points baada ya hapo jana kuwa mchezaji wa kwanza tangu Dunia kuumbwa katika ligi hiyo kufunga three points katika michezo 250 mfululizo katika Regular Season. Curry katika hiyo michezo 250 mfululizo ameweza kufunga three points 1,139 ni sawa na jumla ya alama 3,417, akifuatiwa na Kyle Korver mwenye michezo 127 mfululizo. Curry ameendelea kuongeza rekodi zake za mitupo hiyo ya nje ya D.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live