Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Ratiba ya NBA wiki hii

NBA Nov Ratiba ya NBA wiki hii

Wed, 8 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

New York Knicks watakuwa Madison Square Garden wakiwakaribisha San Antonio Spurs.

Knicks wanaingia katika mchezo wakitoka kushinda nyumbani dhidi ya L.A Clippers kwa vikapu 111 - 97 wakati Spurs walipoteza kwa Pacers kwa vikapu 152 - 111

Wanafainali wa NBA msimu uliopita wanakutana Steph Curry na The Warriors wanasafiri kwenda kuwavaa mabingwa watetezi Nuggets ya Nikola Jokic

Nuggets wametoka kushinda dhidi ya Utah Jazz kwa vikapu 110 - 102 wakati Warriors wametoka kushinda dhidi ya Detroit Pistons kwa vikapu 120 - 109.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live